Man United yamsaka Anderson

BURUDANI - - HABARI -

MANCHESTER, ENGLAND

Manchester United, inajiandaa kupeleka ofa ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa Lazio, Felipe Anderson.

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal anataka kuimarisha kikosi chake kwa kumsajili nyota huyo.

AS Roma ilitenga kitita cha Euro milioni 28 kwa ajili ya kumsajili nyota huyo raia wa Brazil.

Mchezaji huyo anakadiliwa kuwa na thamani ya Euro milioni 56.

Tayari klabu za PSG na Bayern Munich zimeanza kuulizia huduma yake.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.