Midume yapigana vikumbo kwa binti wa Rais

BURUDANI - - WAZO | HOJA -

ABUJA, Nigeria MTOTO wa rais wa Nigeria, Mohamadu Buhari, Zahra Buhari, ameendelea kuvutia zaidi na kuwafanya baadhi ya wanaume kumtolea macho.

Mrembo huo mwenye kujizolea umaaraufu mkubwa baada ya picha zake alizopiga kwa mitindo mbalimbali kusamazwa kwenye mitandao ya kijamii. na nafsi yake kutomwamini mwanaume yoyote.

Nilikuwa na uhusiano na mwanamuziki Inyaya,alinitumia na kisha kuniacha,ukweli roho iliniuma sana,hivi sasa sina mawazo ya kumpa penzi lote mwanaume yoyote,”alisema.

Pia,alisema hana imani na rafiki yoyote kwenye maisha yake kwa vile wakati wowote anaweza kuwa adui namba moja.

Wiki iliyopita Zahara alionekana kwenye tamasha la hisani lililoandaliwa na taasisi ya Ace Charity likiwa na lengo la kusaidia watoto.

Wakati wote alionekana mwenye tabasamu akipiga picha na watu wengine mashuhuri waliohudhuria tamasha hilo. ABUJA,Nigeria MUIGIZAJI wa Nollywood, Queeneth Agbor ,amesema kwamba kamwe hawezi kumpiga busu mwanume yoyote katika kuigiza.

Mrembo huyo,alisema jana wakati akizungumza na gazeti moja la nchini humo kuwa ameamua kufanya hivyo baada ya kukumbwa na tatizo.

Alisema awali aliwahi kuwa na mpenzi wake, ambaye hakumtaja jina,waliachana baada ya mpenzi wake huyo kuchukizwa alipompiga busu mwanaume mwingine wakati wa kuigiza.

“Siwezi kumpiga busu mwanaume kwenye kazi ya a kuigiza,niliwahi kufanya hivyo nikapata matatizo makubwa kutoka kwa mpenzi wangu,nilimpenda sana,”alisema ana,”alisema mrembo huyo.

ABUJA, Nigeria

nchini MUIGIZAJI wa filamu

maarufu Nigeria, Chinedu Ik edieze,

siri kwa jina la Aki,ametoboa

kama kwamba anapenda kuigiza

mafunzo mtoto kutokana na kupewa na bibi yake.

anapenda Aki alisema, amekuwa

ujumbe kufanya hivyo ili kupeleka

vijana husika kwa jamii hasa

o kutokana na mambo ambay wamekuwa

katika wanayafanya kila kukicha maisha yao.

alikuwa Alisema, bibi yake

ya kuishi na akimpa mafunzo mengi

kitu ambacho jamii ya watu tofauti

kazi ili yeye ameamua kukifanyia

sanaa ya kujipatia riziki yake kupitia maigizo.

bibi “Tulikuwa tunaishi na katika jimbo la Abia,alinifundisha LAGOS, Nigeria MWANAMUZIKI wa Nigeria, Tiwa Savage, hivi karibuni alifanya kituko cha ajabu baada ya kumvamia paparazi mmoja.

Tiwa alifanya tukio hilo hivi karibuni baada ya kumvamia mpiga picha huyo asimpige picha yeye na mtoto wake.

Mrembo huyo alifanya hivyo wakati alipokuwa katika uzinduzi wa bidhaa zinazotengenezwa na kampuni ya Oriki.

Tukio hilo lilitokea kwenye ukumbi wa Victoria ambapo mrembo huyo alimrukia mpiga picha huyo na kumnyang’anya kamera. Hatahivyo,mrembo huyo alifanikiwa kuharibu kamera hiyo na huenda akachukuliwa hatua za kisheria na paparazi

huyo. mambo mengi kuhusu maisha

o kinanisadia kitu ambacho hadi le

ambazo kutengeneza filamu zinakuwa na mvuto,”alisema.

eleza Hata hiv yo, Aki ame

ambavyo kwamba pamoja na vituko

kila mara amekuwa anavifanya

alisema katika kuigiza,kitu ambacho

yoonekana yeye haishi kama anav kwenye kuigiza.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.