Mkude atimka Simba

BURUDANI - - HABARI -

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amekwenda nchini Afrika Kusini kufanya majaribio katika timu ya Mpumalanga Black Aces.

Katibu Mkuu wa Simba, Patric Kahemele,amethibitisha jana kwamba mchezaji huyo amekwenda nchini humo siku chache zilizopita.

Alisema nyota huyo, amepata baraka zote kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio hayo na atarudi nchini mwishoni mwa wiki hii.

“Kweli amekwenda Afrika Kusini, tumempa ruhusa na atarudi nchini ndani ya simu mbili au tatu zijazo,”alisema Katibu huyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.