POLE SANA

BURUDANI - - HABARI -

MWENYEKITI wa Yanga, Yussuf Manji akimpa pole kipa wa timu hiyo Deogratius Munishi 'Dida' baada ya kufanyika ibada ya kuagwa mwili wa marehemu baba yake katika Kanisa Katoliki Chang'ombe, Dar es Salaam, jana. Mwili wa marehemu ulisafirishwa jana kwenda Moshi kwa mazishi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.