Uhamiaji tambo nyiiingi

BURUDANI - - HABARI - NA DEUSDEDIT UNDOLE

Alisema lengo ni kufanya vizuri katika michuano hiyo ili kukata tiketi ya kucheza Klabu Bingwa ya netiboli ya Afrika Mashariki na Kati. la Muungano, kwani tumedhamiria kuendeleza ubabe kama mwaka jana,” alisema Winnie.

Alisema kinachoendelea kwa sasa katika timu yake, ni kufanya maandalizi bora ambayo yatawafanya wang’are katika kombe la Muungano. akizungumza Dar es Salaam jana alisema wana jeuri hiyo kutokana na ubora na ari waliyonayo wachezaji wake msimu huu.

“Hayo ambayo tumeyafanya huko katika uwanja wa Jamhuri, Morogoro ni dalili tu. Lakini mvua yenyewe itanyesha katika kombe kwa ushirikiano baina ya Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) na Chama cha Netiboli Zanzibar ( CHANEZA). Michuano hiyo itachezwa Novemba, mwaka huu jijini, Dar es Salaam.

Kocha wa mabingwa hao Winfrida Emmanuel ‘ Winnie’,

MABINGWA wa netiboli Ligi Daraja la Kwanza, timu ya Uhamiaji imeapa kuendeleza ubabe mpaka kwenye michuano Kombe la Muungano.

Patashika za kombe la Muungano huandaliwa kila mwaka

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.