Wema Sepetu avamiwa

BURUDANI - - HABARI - NA ERICK MINYAVU, TSJ

MASHABIKI wa msanii Wema Sepetu ambao wanajulikana kama Team Kazi, wamemshangaza staa huyo baada ya kutinga nyumbani kwake usiku wa kuamkia siku yake ya kuzaliwa.

Baada ya kushuka kwenye basi aina ya Coaster huku wakiwa na keki yao ambayo ilipambwa na kazi anazofanya msanii huyo, ambapo bila Wema kujua nini kinaendelea, ndipo alishangaa watu wakimfuata na kusababisha ashindwe kuficha furaha mpaka kumwaga machozi.

“Sina cha kuwalipa kwa kweli maana sio kwa mapenzi jaya dah nawashukueru sana Mungu awaongoze kwa kila hatua mpigayo,” alisema Wema.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.