George Kavila amuwaza Omog

BURUDANI - - HABARI -

NYOTA wa timu ya Kagera Kavila, amekiri kwamba wana mic nje ya uwanja wa Kaitaba wakianz waliocheza nao jana, kisha Simba.

Simba na Kagera zitavaana Jum nye Uwanja wa Uhuru, Dar es Sa Kavila amesema mchezo huo un kali.

Alisema kuwa kitendo cha ku

Sugar, George chezo migumu za na Majimaji amosi hii kwelaam, ambapo nawapa presha upoteza mechi yao dhidi ya Toto African, kimewapa wakati mgumu kwenye ligi hiyo.

Alisema baada ya kupoteza mchezo huo kwa kuchapwa mabao 2-1 katika uwanja wao wa nyumbani, benchi la ufundi na wachezaji wamejipanga kufanya vizuri.

Kavila alisema lakini wana changamoto ngumu kutoka kwa timu ya Simba inayofundishwa na kocha raia wa Cameroon, Joseph Omog.

“Unajua tuna kazi ngumu kushinda huku Simba nayo ikitusubiri Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii,” alisema.

Mkongwe huyo katika kikosi hicho, amewapa wapenzi wa timu hiyo kuhakikisha wanakuwa nyuma yao ili waweze kufanya vizuri katika mechi zijazo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.