Eti Simba imefunga bao 7 kama simu za Masau Bwire

Dimba - - Jumapili -

HAWA mashabiki wa Simba sasa wamepitiliza kwa utani! Unajua walichokisema baada ya timu yao kuifunga Ruvu Shooting kwa idadi kubwa ya mabao 7-0? Eti wanasema wachezaji wao wametekeleza maagizo ya kocha wao Joseph Omog aliyewaagiza wafunge idadi hiyo ambayo inalingana na simu saba anazomiki msemaji wa klabu hiyo Massau Bwire.

Msemaji huyo licha ya kuwa na mwembe nyingi za kuisifia timu yake lakini pia amekuwa na sifa ya kutembea na idadi nyingi ya simu zinazodaiwa kufikia saba ambazo zote huzitumia kwa mawasiliano yake.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.