PSG YAIKAZIA BARCA KWA DI MARIA

Dimba - - Jumapili -

PSG wameripotiwa kuipiga chini ofa ya pauni mil 32 iliyotumwa na Barcelona kwa ajili ya winga, Angel di Maria.

Timu hizi mbili zinatajwa kuingia kwenye mgogoro tangu PSG walipomnasa Neymar kutoka Barcelona kwa uhamisho ulioweka rekodi ya dunia.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.