HASSAN KADIO

Dimba - - Jumapili -

Timu ya Taifa ya gofu inapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa michuano hiyo ya Zone five, inayotarajiwa kufikia tamati leo katika viwanja vya Gymkana, Dar es Salaam. Michuano hiyo ambayo inashirikisha nchi sita, Tanzania imekuwa ikitakata tangu ilipoanza.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.