Boxing Kazikazi inakuja!

Dimba - - Jumapili -

BONDIA mahiri wa ndondi za kulipwa nchini, Amos Mwamakula, amewataka wadau na wapenzi wa mchezo huo kujiandaa kukipokea kipindi kipya cha runinga kiitwacho Boxing Kazikazi kitakachoanza kurushwa Oktoba mwaka huu kwenye kituo cha TV1.

Akizungumza na gazeti hili juzi jijini Dar es Salaam, Mwamakula amesema baada ya kuutumikia mchezo huo kwa miaka mingi na kufanikiwa kushiriki mapambano mengi ya kimataifa, ameamua kuanzisha kipindi hicho ili kurudisha heshima.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.