Mwere Kids, Young Star zafuzu

Dimba - - Jumapili -

TIMU tatu za soka za Mwere Kids, Maskani FC na Young Star zimefuzu kucheza hatua ya 16 bora ya mashindano ya Kombani Ndodo Cup, yanayochezwa kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Morogoro. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka cha Manispaa ya Morogoro, (MMFA), Kafale Maharagande, timu hizo zimefuzu hatua hiyo baada ya kufanya vizuri kwenye mechi za mtoano na timu zilizocheza nazo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.