Rada City yainyuka Ukonga United

Dimba - - Jumapili -

TIMU ya Rada City imeinyuka Ukonga United mabao 3-0, katika mchezo wa mashindano ya Jezi, uliochezwa Uwanja wa Kipawa Vingunguti, Dar es Salaam. Mabao ya washindi yalifungwa na Pius Abdul, Zungu Ramadhani, Sinigo Mdudu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.