Kilosa wahimiza tizi

Dimba - - Jumapili -

CHAMA cha Soka cha Wilaya ya Kilosa (KDFA) mkoani Morogoro, kimezitaka timu za Ligi Daraja la Tatu zilizopo wilayani humo, kuanza mazoezi mapema kabla mechi za ligi hiyo kuanza. Fadhili amezitaja timu hizo kuwa ni Rudewa1, Nyambisi FC, Mwaya, Kitete na Mtendeni FC.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.