Richie Academy, Chanika Combine nguvu sawa

Dimba - - Jumapili -

TIMU ya Richie Academy imeshindwa kutamba mbele ya Chanika Combine, baada ya kutoka sare ya mabao 2-2, ukiwa ni mchezo wa mashindano ya Ligi ya Vijana uliopigwa Uwanja wa JK jijini Dar es Salaam.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.