SANCHEZ

AKISEPA TU, BENZEMA ANATUA EMIRATES

Dimba - - Jumapili -

ARSENAL watatuma ofa kwa Real Madrid kwa ajili ya straika, Karim Benzema, endapo Alexis Sanchez ataamua kuondoka. Uamuzi huu umekuja baada ya Arsenal kushindwa kufikia makubaliano na Sanchez juu ya kuongeza mkataba mpya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.