MAN CITY YAZIMA ISHU YA MESSI

Dimba - - Jumapili -

MKURUGENZI wa ufundi wa Manchester City, Txiki Begiristain, amekanusha habari kuwa wanajiandaa kutoa pauni mil 277 kwa ajili ya kumnasa Lionel Messi. Begiristain amesema hawana mpango huo na wanaamini Messi atasaini mkataba mpya na Barcelona hivi karibuni. Jana Liverpool waliipiga chini ofa ya tatu ya Barca ya pauni milioni 119, waliyoituma kwa ajili ya Coutinho.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.