PULIS APANGA KUVUNJA REKODI YA WEST BROM

Dimba - - Jumapili -

KOCHA wa West Brom, Tony Pulis, yuko tayari kuvunja rekodi ya usajili ya timu hiyo kwa kumsajili beki wa Liverpool, Mamadou Sakho.

Pulis amesema anajiandaa kutuma ofa ya pauni mil 30 kwa Liverpool, ili kumnasa beki huyo kabla dirisha halijafungwa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.