WENGER YUKO TAYARI KUMPIGA BEI MUSTAFI

Dimba - - Jumapili -

ARSENAL wamesema kuwa watakuwa tayari kumpiga bei beki wao, Shkodran Mustafi, ikiwa watapokea ofa ya pauni mil 35.

Kauli hii imekuja baada ya klabu mbili za Seria A, Juventus na Inter Milan kuonyesha nia ya kuifukuzia saini ya Mjerumani huyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.