MOURINHO: IBRA ATASUGUA KWA LUKAKU

Dimba - - Jumapili -

JOSE Mourinho amemwambia Zlatan Ibrahimovic kwamba, kama anafikiria atakuwa straika chaguo la kwanza, basi ni vyema akafuta mawazo hayo.

Mourinho amesisitiza kuwa kwa sasa straika wake namba moja ni Romelu Lukaku na itabaki hivyo hata Ibrahimovic atakapopona na kujiunga na kikosi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.