EMMANUEL OKWI

Dimba - - Jumapili -

Straika mpya wa Simba amesema kama timu hiyo inahitaji kutwaa ubingwa wa ligi kuu, inatakiwa kujipanga zaidi kwa kuwa mahasimu wao kisoka Yanga kwani si watu wa kubeza hata kidogo. Okwi anasema kiwango kilichoonyeshwa na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii kimewashtua na sasa wamepania kuanza kampeni ya kutwaa ubingwa mapema kwa kushinda mechi zote za mzunguko wa kwanza ili kupalilia safari ya ubingwa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.