HAJI NGWALI

Dimba - - Jumapili -

Baba mzazi wa beki wa Yanga, Haji Mwinyi, amemtaka mwanaye kupambana na kuhakikisha anapata namba katika kikosi cha kwanza cha kocha mkuu George Lwandamina. Baba huyo ambaye pia ni meneja wa mchezaji huyo, alisema anafahamu ushindani uliopo kwa sasa ndani ya kikosi hicho lakini anaamini mwanaye ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kama atazingatia baadhi ya vitu muhimu vya kufanya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.