HAMIS YUSUPH

Dimba - - Jumapili -

Beki wa zamani wa Yanga amewatahadharisha mabeki wa timu hiyo kwa kuwataka kujituma zaidi kutokana na jinsi Simba ilivyosajili nyota wake, huku akimshauri kocha mkuu kumpa nafasi zaidi beki wao mpya, Haji Shaibu ‘Ninja’. Anasema beki huyo ambaye pia aliwahi kuichezea timu ya Taifa anaamini Yanga ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wake, lakini amewatahadharisha mabeki wao kuwa makini kama wanataka kutimiza ndoto za timu hiyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.