STRESS ZA BARCA ZITAMUUA COUTINHO

Dimba - - Jumatano -

MANCHESTER City wako tayari kuipa Arsenal fedha na nyota wao, Raheem Sterling, ili waweze kumpata Alexis Sanchez.

DAKTARI wa kiungo Philippe Coutinho amesema matatizo ya mgongo yanayomsumbua nyota huyo yamesababishwa na mawazo aliyokuwa nayo juu ya uhamisho wa kwenda Barcelona.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.