CHELSEA KUITIBULIA SPURS KWA BARKLEY

Dimba - - Jumatano -

TOTTENHAM Hotspur wanajiandaa kutuma ofa ya pauni mil 20 kwa ajili ya kuinasa saini ya kiungo majeruhi wa Everton, Ross Barkley.

Lakini bado wanakabiliwa na upinzani kutoka kwa Chelsea wanaoripotiwa kuiwinda pia saini ya kiungo huyo wa England.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.