CHELSEA KUMALIZANA NA DIEGO COSTA

Dimba - - Jumatano -

CHELSEA wanafikiria kumpiga bei straika wao, Diego Costa kabla dirisha la usajili halijafungwa, siku ya kesho.

Tayari Atletico Madrid wameshatuma ofa ya pauni mil 30 kwa ajili ya kumrejesha straika huyo, aliyewahi kuichezea klabu yao kabla ya kwenda Chelsea.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.