CHELSEA KUFUNGA USAJILI NA WAWILI

Dimba - - Jumatano -

CHELSEA wako kwenye hatua za mwisho kukamilishi usajili wa kiungo wa Leicester City, Danny Drinkwater, na winga wa Arsenal, Alex OxladeChamberlain.

Taarifa kutoka BBC zinasema kuwa, mabingwa hao wa Premier League msimu uliopita, watalazimika kutumia pauni mil 40 kukamilisha madili hayo mawili.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.