SEIF ABDALLAH

Dimba - - Jumatano -

Winga wa Lipuli FC ya mkoani Iringa, amewaahidi mashabiki wa timu yake hiyo kuwa atawafanyia mambo makubwa kwa kufunga mabao ya kutosha endapo ataendelea kupewa nafasi na benchi lake la ufundi. Amebainisha kufunga kwake bao lake la kwanza dhidi ya Yanga ni ishara tosha kuelekea kwenye malengo yake ya kufunga zaidi ya mabao 10 msimu huu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.