HAVINTISH ABDALAH

Dimba - - Jumatano -

Katibu wa klabu ya Tanzania Prisons, amesema wachezaji wao wataendelea kusalia kambini, licha ya ligi kusimama wiki ijayo, kutokana na mwongozo wa kalenda ya Shirikisho Soka Duniani (FIFA). Amesema pamoja na ligi kusimama mwishoni mwa wiki hii, wachezaji wao wataendelea na mazoezi chini ya kocha wao, Mohamed Abdallah, ambapo watakuwa wanatokea kambini na si nyumbani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.