SWANSEA YAISHTUA BAYERN KWA SANCHEZ

Dimba - - Jumatano -

SWANSEA wameishtua Bayern Munich, baada ya kutuma maombi ya kuihitaji huduma ya kiungo wao, Mreno Renato Sanchez.

Ofa hiyo ya Sanchez imekuja ghafla, baada ya Juventus kurudi nyuma kwenye mpango wao wa kumchukua Sanchez, kwa mkopo wa mwaka mmoja.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.