SASA LIVER WANAFANYA FUJO SOKONI

Dimba - - Jumatano -

BAADA ya kukamilisha dili la kiungo Nabby Keita, Liverpool wamerudi tena kwa Southampton, kuangalia uwezekano wa kumnyakua Virgil van Dijk.

Kasi hii ya Liver imekuja baada ya uongozi kutoa kitita cha pauni mil 200 kwa ajili ya kuijenga upya timu ili iweze kubeba mataji kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.