Jua kali, New Toto African sare

Dimba - - Jumatano - NA HENRY PAUL

TIMU ya Jua Kali FC imeshindwa kutamba mbele ya New Toto African ya Kivule, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa Vingunguti Super Cup, uliopigwa Uwanja wa Shule ya Msingi Vingunguti jijini Dar es Salaam. Bao la Jua Kali liliwekwa kimiani dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza na nahodha wa timu hiyo, Makanga huku bao la New Toto African likifungwa na Juma Vande.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.