Pool Table yailaza Temeke

Dimba - - Jumatano - NA GLORY MLAY

TIMU ya Pool Table ya Ilala imeibuka kidedea baada ya kuinyuka Temeke mabao 13-8, katika mashindano ya Maveterani yaliyofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Hongera, Sinza jijini Dar es Salaam. Katika mchezo wa mchezaji mmoja mmoja, Cecilia Kileo aliibuka mchezaji bora akitokea Kinondoni, huku mshindi wa pili akiwa Irene Kihupi kutoka Ilala.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.