PSG KUTOA OFA NONO KWA SANCHEZ

Dimba - - Jumatano -

KLABU ya Paris SaintGermain imeripotiwa kufanya mipango ya kumshawishi Alexis Sanchez aikache Arsenal kwa kumpa ofa ya pauni milioni 10 za nyongeza kwenye usajili wake, ambapo iÀkapo majira yajayo ya kiangazi, Mchile huyo atakuwa huru baada ya mkataba wake kuisha.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.