GUEYE KULAMBA MKATABA MNONO WIKI HII

Dimba - - Jumatano -

KIUNGO Msenegali anayekipiga Everton, Idrissa Gana Gueye, anatarajiwa kusaini mkataba mnono wiki hii baada ya kuonesha kiwango cha hali ya juu msimu uliopita, ambapo mshahara wake utakuwa ni pauni 75,000

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.