ABDI BANDA

Dimba - - Special -

Mtanzania anayekipiga katika klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini, amesema kucheza katika klabu hiyo ni moja ya njia za mafanikio kwake kusonga mbele zaidi katika soka la ushindani.

Amesema kufanya vyema kwa timu yake kwa kila mechi ni mafanikio mazuri kwake kujiweka sokoni na kufikia malengo ya kucheza soka la kulipwa nje ya mipaka ya Afrika.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.