LAUDIT MAVUGO

Dimba - - Special -

Ikiwa ni mechi yake ya kwanza kufunga bao la ushindi kwa Simba, hii imewakumbusha msimu uliopita katika mchezo na Majimaji kwa kumfanya aaminiwe katika kikosi cha kwanza hadi wanamaliza msimu.

Amesema anaamini benchi la ufundi litazidi kumpa nafasi ya kucheza ili aendelee kuifanyia makubwa timu hiyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.