SHADRACK NSAJIGWA

Dimba - - Special -

Kocha msaidizi wa Yanga, amekiri safu ya ushambuliaji ya timu hiyo ni butu na ameanza mikakati ya kuifungia kazi baada ya kuona mahasimu wao Simba wanaendelea kufanya vizuri katika kufumania nyavu.

Amesema anataka safu ya ushambuliaji ya timu hiyo itupie nyavuni mabao mengi kila mechi kwani ikitokea ubingwa unaamuliwa kwa mabao ya kufunga Yanga iwe salama.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.