KISA ANCELOTTI, JAMES ATAKA KURUDI MADRID

Dimba - - Jumatano -

KIUNGO James Rodriguez anataka kurejea Real Madrid, ikiwa ni miezi miwili tu tangu atolewe kwa mkopo wa miaka miwili kwenye klabu ya Bayern Munich.

Rodriguez amefanya maamuzi hayo akidaiwa kukerwa na kitendo cha uongozi wa Bayern kumtimua kocha wao, Carlo Ancelotti.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.