MOURINHO AMFUATA MBADALA WA PERISIC

Dimba - - Jumatano -

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho, juzi alikuwa jukwaani kwenye mchezo wa Austria dhidi ya Serbia, kwa ajili ya kumchunguza winga Mijat Gacinovic.

Winga huyo anayekipiga katika klabu ya Eintracht Frankfurt, amekuwa kwenye rada za Mourinho tangu kocha huyo alipoikosa saini ya Ivan Perisic.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.