UNITED WAMFUNGIA KAZI ROSE

Dimba - - Jumatano -

MANCHESTER United wanaÀkiria kumnyakua beki wa kushoto wa Tottenham, Danny Rose (27), katika usajili wa dirisha dogo, Januari, mwakani.

Uamuzi huu umekuja baada ya Jose Mourinho kutoridhishwa na kiwango cha Luke Shaw, aliyerejea dimbani hivi karibuni baada ya kupona jeraha lake.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.