ITALIA WAMTAMANI TENA CONTE

Dimba - - Jumatano -

ANTONIO Conte anaweza kurejea kuifundisha timu ya taifa ya Italia baada ya Gian Piero Ventura kushindwa kufanye vyema kwenye michezo ya kufuzu kwenda Kombe la Dunia.

Chama cha Soka cha Italia kinaamini kina nguvu ya kumshawishi Conte kuitosa Chelsea na kurejea nyumbani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.