BARCA YAISHTUKIA MAPEMA DILI YA GRIEZMANN

Dimba - - Jumatano -

BARCELONA wanaangalia uwezekano wa kuwahi kulipa pauni mil 89 na kuvunja mkataba wa Antoine Griezmann na klabu ya Atletico Madrid. Wakatalunya hao wanaamini wakiendelea kuchelewa mpaka mwishoni mwa msimu, dau la straika huyo linaweza kuongezeka zaidi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.