DI MARIA ANAUZWA CHINA

Dimba - - Jumatano -

WINGA Angel di Maria ameingia kwenye rada za mabosi wa China na huenda akatua huko katika majira ya baridi, Januari, mwakani. Tayari matajiri wa Paris StGermain, wanadaiwa kufanya mazungumzo ya awali na baadhi ya klabu na sasa wako kwenye makubaliano ya bei tu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.