GIGY MONEY

Amng'ata sikio Young Dee

Dimba - - Jumatano - NA JESSCA NANGAWE

MKALI wa ngoma ya ëPapaí Gift Stanford maarufu kama ëGigy Moneyí amemng'ata sikio msanii mwenzake Young Dee kwa kumtaka kujikita zaidi katika muziki na kuepukana na skendo ambazo zinazidi kumchafua kiasi cha kutishia kupoteza dira yake ya mafanikio. Gigy Money ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha 'Papa' amesema skendo za swahiba wake huyo kuonekana na wanawake tofauti zimekua zikimjengea taswira mbaya ndani ya jamii na huenda zikampoteza kwenye gemu. ìNadhani akae ajitathmini na aangalie umri wake, ana safari ndefu ya kuÀkia mafanikio, aachane na bifu zisizokuwa na maana kwake aangalie maisha yake na ya mtoto wake,"alisema Gigy Money. Young Dee amekua akihusishwa kutoka kimapenzi na msanii mwenzake Amber Lulu kabla na baada ya kuachana na aliyekua mpenzi wake Tunda ambao wote mo mavideo Queen.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.