STAHIMILI MBONDE

Dimba - - Special -

Stahimili Mbonde Straika wa Mtibwa Sugar anayetamba kuendeleza kasi yake ya upachikaji mabao katika mechi za Ligi Kuu, ambapo wikiendi hii kikosi cha timu hiyo kitavaana na Simba, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Anasema anajua Simba ni timu kubwa yenye mabeki wazuri lakini kwa jinsi alivyojipanga msimu huu, itakuwa ngumu kwake kuzuilika asimtungue kipa Aishi Manula.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.