RUVU SHOOTING ‘MMESOMEKA’

Dimba - - Special -

KASI waliyonayo maafande wa JKT Ruvu kuvuna pointi ili kuhakikisha wanapanda Ligi Kuu Tanzania Bara, imekuwa tishio kuliko timu zote za Ligi Daraja la Kwanza katika makundi yote matatu, baada kufanikiwa kushinda michezo yote minne kwenye kundi A lenye timu nane.

JKT Ruvu inayonolewa na Bakari Shime, imejiwekea rekodi hiyo ya kipekee katika michezo minne kuvuna pointi 12, ambapo hakuna timu ambayo imefanya hivyo ikiwamo makundi mawili B na C.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.