Home FC yaibamiza Baiskeli

Dimba - - Maoni - NA ESTHER GEORGE

TIMU ya Home FC imeinyuka Baiskeli FC mabao 2-0, katika mchezo wa kujiandaa na mashindano ya Umoja Cup, uliochezwa kwenye Uwanja wa Home Boys, jijini Dar es Salaam. Mchezo huo haukuwa na ushindani ule uliotarajiwa kwani timu ya Home FC ilionekana kutawala kipindi chote cha mchezo, ambapo mabao ya ushindi yalifungwa na Saidi Mussa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.