UFA wasaka wadhamini Ligi Daraja la Tatu

Dimba - - Maoni - NA ESTHER GEORGE

CHAMA cha Soka Wilaya ya Ubungo (UFA), kinasaka wadhamini wa kuiwezesha Ligi Daraja la Tatu inayotarajiwa kuanza leo kwenye viwanja mbalimbali jijini Dar es Salaam. Akizungumza na DIMBA jana, Mwenyekiti wa Chama hicho, Benjamini Mwakasonda, alisema ili ligi hiyo iweze kuwa na ushindani mkali, wanahitaji mchango wa wadhamini kutokana na ukata unaowakabili.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.