Kigamboni, KKKT mzigoni leo

Dimba - - Maoni - NA GLORY MLAY

TIMU ya Kigamboni itashuka dimbani leo dhidi ya KKKT SC, katika mchezo wa Ligi Daraja la Tatu Wilaya ya Kigamboni, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Shule ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Ligi hiyo imeshirikisha timu 12 zilizogawanyika katika makundi matatu ya A, B na C.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.